Tanzania ni nchi iliyoko Afrika Mashariki eneo ambalo ni la Maziwa Makuu. Ikipakana na Uganda kwa upande wa Kaskazini na Kenya upande wa Kaskazini-Mashairiki. Visiwa vya Comoro katika ukanda wa Mashariki mwa bahari ya Hindi, Msumbiji na Malawi upande wa Kusini na Zambia upande wa Kusini-Magharibi. Rwanda, Burundi na Congo DRC zote zikiwa upande wa Magharibi mwa Tanzania.
Tanzania The Soul of Africa ni nchi ya Afrika Mashariki inayojulikana kwa maeneo yake makubwa kuwa ni ya jangwa. Hii inajumuisha na tambarare za Hifadhi ya Kitaifa ya Serengeti, ikiwa wanayama walio kwenye kundi la Big 5, (Tembo, Simba, Chui, Nyati, Vifaru) pamoja na hifadhi ya kitaifa ya Kilimanjaro, ambapo upatikana mlima mrefu zaidi kuwahi kutokea barani Afrika na ni moja ya maajabu saba ya Dunia.
Kiujumla imezungukwa na sehemu maridhawa kila kona ya maeneo yake. Wageni mbalimbali utembelea kila Mwaka kwa ajili ya kujionea vitu mbalimbali kama vile,
Zanzibar-The Ultimate Indian Ocean Experience
Ballon Safaris
Cultural Tourism
Mount Kilimanjaro-The roof of Africa
Ngorongoro Crater-The Cradle of Mankind
Serengeti National Park-Home to the greatest animal Migration